YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
Mzee mjengo sio 😅😅😅😅
Mzee mjengo sio 😅😅😅😅
Ingia humo Post no #338 download hio app,hakikisha unafuta kwanza iliyopoJambo Brother Mshana,naomba msaada wa Jf huu ni mwezi kama wa pili simu yangu kwenye jf haifungui picha yoyote,so mimi nasoma tu sms but picha hazifunguki km zamani,naomba msaada wa kuelelezwa
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Asante sanaFuata maelekezo ya Melo hapa chini. Inavyoonekana ile app ya zamani wameamua kuitelekeza japo hawataki kusema. Ingependeza tu hata waiondoe huko Playstore maana kama wameitelekeza itakuwa rahisi sana kudukuliwa...
![]()
App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APPwww.jamiiforums.com
Mo Dewji ana miaka mingapi,mbona anazeeka ghafla?
Hivi kwanini vipindi vya weather huko nje wanapenda kutumia warembo sana?pamoja kwa kwamba kwenye television warembo ni kawaida ila kwenye weather forecast wanaweka warembo zaidi?
Ok mkuu,hili swali huwa najiuliza sana sipati jibu
Ngoja aje atujuze babu,Ok mkuu,hili swali huwa najiuliza sana sipati jibu
Mo Dewji ana miaka mingapi,mbona anazeeka ghafla?
Likely siteresi za kuendesha utopolo. Anapoteza hela nyingi sana![]()


Jongweee!
View attachment 2623892