Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kama taifa huku tulikofika siko....

Haya mambo inabidi yakemewe haijalishi kama watu walichukizwa na waliosherehekea vifo vya baadhi ya watu mashuhuri waliotangulia...

Hatuko katika njia sahihi!

View attachment 2620015
Mtu akifanya ujinga


Hatupasw kumlipa kwa kufanya ujinga


Tunapaswa kufanya jambo sahih ili wengine wajifunze
 
Mhmm




Km kwel vile
JamiiForums790734876.jpg
 
Binti yako amekua mno Baba E ❤️View attachment 2622145

Wasukuma pesa za ng'ombe zinawapa neema kubwa kubwa.....

Unakutana na Binamu zangu wasukuma sura ya jembe ila mke wake mwarabu wa kuchovya.... mtekeee....

Ila mnafanya vizuri ku dilute genes za kisukuma ili miaka 20 ijayo wasukuma wanakuwa homa ya kanda ya ziwa....

Beauty wife, dota umemficha...🙂
 
Back
Top Bottom