stacia
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 752
- 1,475
🤣🤣🤣🤣 Niache basiSi unaona!
"Ukorofi" unajifichaga kwani? 😁😁😁
🤣🤣🤣🤣 Niache basiSi unaona!
"Ukorofi" unajifichaga kwani? 😁😁😁
Hawa watu wa mwanza nawapa kongole kwa matunguri maana.........
Acha niishie hapo
Hainisumbui kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Walienda kupiga biashara mkuu ya kilimo cha matikiti na viazi aseeee walipigwa na vitu vizito sana kichwaniKiliwapata nini hao ndugu zako?
Walikuwa wamekwenda kupiga mishe gani? 😁😳
Wapi hizi zinapatikana na mie nipate kama tatu
we dada kichwa chako unakijua mwenyewe 😂
Walienda kupiga biashara mkuu ya kilimo cha matikiti na viazi aseeee walipigwa na vitu vizito sana kichwani
wenzao wanauza magunia wao wanaambulia hasara tu na wote wamelima sehemu 1 mazao yanaharibika tu wenzao yananawiri,,,,
kuja kufuatilia jamaa 1 waliyekutana nae huko akawauliza swali 1 :
je mlivyokuja huku mlijipanga????
Ikaishia hapo,,,,,,,,
yaani mtaji wa X million uliisha ikabidi wapewe naulli ya kurudi moshi
Wenzio wamepiga faida ya 6m+ wao hola na wote waliopiga faida ni wa huko huko mwanza na kanda ya ziwa wote huko
Daah nikaaminigi hivi vitu vipo 😢😢😢 so sad
🤣🤣🤣 mshamba_hachekwiwe dada kichwa chako unakijua mwenyewe 😂
AbeeStacia
Stacia
Stacia
Nimekuita mara tatu 😁😁😁
Bora huyo kazama kabla ya mvua
aisee😂 kumbe we ni mtaalam wa haya maswala....Bora huyo kazama kabla ya mvua
Hayo hayana shule bhana wewe 🤭aisee😂 kumbe we ni mtaalam wa haya maswala....
kwakweli.... hii ni elimu dunia😂Hayo hayana shule bhana wewe 🤭
Kuna vitu ni automatikale mf. Kuwa kinyozikwakweli.... hii ni elimu dunia😂