YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
Mmhhh wapi ww kuna ndugu zangu waliendaga kutafuta maisha huko kichwa kichwa aseee walipigwa na vitu vizito kichwani ilibidi wasaidiwe nauli ya kurudi moshi,,,,,,,,,,,,,,Ni Mjita huyo mkuu. Kwao ni huko Mara. Mwanza huku Wasukuma hatuna shida na mtu πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Stori ni ndefu ila acha niishie hapo kwanza
