Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Waambie siku nyingine wakienda waongee na wenyeji...hasa hasa wazee...

Mi niliendaga sehemu Singida ndani ndani huko nikaulizia wazee wa kuongea nao nikaelekezwa kwa Bi. Kizee mmoja anayeogopwa eti mchawi. Niliongea naye sana na tukaishia kuwa marafiki wazuri mno hata leo nikifika anaacha shughuli zake zote ananisikiliza. Na kitu kilichonipeleka huko kilikwenda vizuri mno kuzidi hata wenyeji 😁😁😁
Shukran mkuuu acha nichukue madini hapa nikienda sehemu niongee na wazee vizuri
 
wachache wataelewa 😂😂
tbx4ydvpudd41.jpg
 
Back
Top Bottom