Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
Ngoja nikufuate huko huko ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ tukimbizane vizuri ila miguu yako mizuri ๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—
 
FB_IMG_16833571491986133.jpg
 
Bila shaka umekumbuka siku uliyobikiriwa. Jamaa sasa hivi yuko wapi? Huwa mnawasiliana?

Mfungua njia ya kuelekea kwenye kiini.

Mmwaga damu takatifu....

Shujaa wako!

Aahahahahhahaaa weee Msukuma banaa, unataka nimwage mchele hapaa.....!!??๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Wakati nakuandalia majibu, wewe ambae ulikuwa shujaa kwake yuko wapi???๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

K' Matata...๐Ÿ˜œ
 
Yaani ni kweli kabisaaa......

Ilaa...... mimi ilishanitokea tofauti.....

Well ni miaka lukuki huko nyuma....

Tulikuwa wapenzi halafu tukaachana sababu ya kuchuniana, (our ego). Wakati huo wote tuko chuo, ila kila mtu anachukua fani tofauti, mimi chuo cha sanaa yeye cha sayansi.

Siku ya siku yeye ndo akanitumia ujumbe amenikumbuke nikamtembelee chuo.....

Nikaenda hadi chuoni kwao mbaliii.....

Kufika pale nikaingia hadi chumbani kwake alikuwa kalala kitandani na pensi pekeyake, mimi niko na mgauni wangu mrefuu hadi kisiginoni ila umenichonga mwili, akaniambia njoo ukae kitandani nikakataa....

Nikakaa kwenye kiti, na yeye hakuamka pale kitandani tukaongeleshana kivivu hivohivo nikaona jau nikamwambia mi naondoka....

Nikajua ataamka anibembeleze nisiondoke, akaniambia haya safari njema....๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Nikajiambia mama amka uende hata sikusindikizwa hadi kituoni.....
Nilichukia kwanini nilipoteza muda wangu kwenda hadi Kibaha kutokea Bagamoyo....๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜‘

Hata sijui inahusiananje na nilichokwoti, nimejikuta tuu nasimulia...๐Ÿ˜‰
 
Jamaa kweli alikuwa na ego ya kufa mtu. Au alikuwa ameshaacha kuku-feel maana juhudi kidogo tu angekula mzigo. Actually ulikuwa unategemea kuliwa...Boya sana huyo baharia ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Mtafute siku moja umkumbushe kisa hiki na jinsi alivyokosa mbususu kizembe!
 
Acha kabisa, hatukudumu maana wote tulikutana mafahari 2, halafu tulifahamiana tangu tuko sekondari yaani wote tunapendana, na tulisoma shule moja sema mi nikajakuhama hiyo shule.

Wakati tunasoma wote hapo, yeye alikuwa anasifiwa kuwa ni handsome na kweli ni handsome na amefanana sana na mama yake. Wakati huohuo wakati nasoma nilikuwa na kasura ka kisomali kadogodogo sikuwa mrembo kivileee ila nilivuma...๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hivyo nami nikawa na ile ego, nilitongozwa na wavulana wengi karibu kila kidato nikaona hapa sitamaliza shule nikamsimulia mama nikahama shule na kwenda ya was hana watupu.

Ila wakati huohuo mimi na huyo ego boy tulipendana ila hadi tunakuja kubanjuana tunajiandaa kuingia chuo. Pia tulikuwa na ushindani nani kafaulu kumzidi mwenzake, alikuwa anasema hataki kudate waschana vilaza, alikuwa ananipa wakati mgumuu nilikuwa nabundi tuu ili tuendelee kuwa marafiki.

Tulikubliana kabisa naenda kupasha kiporo hiyo siku niliyomfata chuoni, yaani ukiwa na msimamo na kitu chako anasusa, na mimi kwa misimamo eehehhee nikaondoka na ego yangu na namba yake nikadiliti.

Sijui hata yukwapi saa hii, sinamawasiliano nae miak mingi sana kwa sasa.

Japo ni mtu poa sana, ana akili ya maisha ila anapenda wanawake na alikuwa ananiambia mi wanawake wananitongoza nikipenda nakaa nikiona sio napiga nasepa....

Popote alipo natumai Mr. Ego atakuwa ametulia sasa maana uzee utakuwa umemsheheni kama bi Kasinde hapa.....๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Aahahahahhahaaa weee Msukuma banaa, unataka nimwage mchele hapaa.....!!??๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Wakati nakuandalia majibu, wewe ambae ulikuwa shujaa kwake yuko wapi???๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

K' Matata...๐Ÿ˜œ

Umwage huo mchele hata PM...

Mimi sijabahatika kufungua njia ya uzima.....siko mjanja kivile nadhani...na body count yangu ni ndogo sana. Na sasa nshazeeka so sitegemei kukutana na hiyo bahati tena!
 
Acha kabisa, hatukudumu maana wote tulikutana mafahari 2, halafu tulifahamiana tangu tuko sekondari yaani wote tunapendana, na tulisoma shule moja sema mi nikajakuhama hiyo shule.

Wakati tunasoma wote hapo, yeye alikuwa anasifiwa kuwa ni handsome na kweli ni handsome na amefanana sana na mama yake. Wakati huohuo wakati nasoma nilikuwa na kasura ka kisomali kadogodogo sikuwa mrembo kivileee ila nilivuma...๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hivyo nami nikawa na ile ego, nilitongozwa na wavulana wengi karibu kila kidato nikaona hapa sitamaliza shule nikamsimulia mama nikahama shule na kwenda ya was hana watupu.

Ila wakati huohuo mimi na huyo ego boy tulipendana ila hadi tunakuja kubanjuana tunajiandaa kuingia chuo. Pia tulikuwa na ushindani nani kafaulu kumzidi mwenzake, alikuwa anasema hataki kudate waschana vilaza, alikuwa ananipa wakati mgumuu nilikuwa nabundi tuu ili tuendelee kuwa marafiki.

Tulikubliana kabisa naenda kupasha kiporo hiyo siku niliyomfata chuoni, yaani ukiwa na msimamo na kitu chako anasusa, na mimi kwa misimamo eehehhee nikaondoka na ego yangu na namba yake nikadiliti.

Sijui hata yukwapi saa hii, sinamawasiliano nae miak mingi sana kwa sasa.

Japo ni mtu poa sana, ana akili ya maisha ila anapenda wanawake na alikuwa ananiambia mi wanawake wananitongoza nikipenda nakaa nikiona sio napiga nasepa....

Popote alipo natumai Mr. Ego atakuwa ametulia sasa maana uzee utakuwa umemsheheni kama bi Kasinde hapa.....๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Ila ego mbili zikipambana ni hatari unaambiwa...tena ukute moja ni ya last born. Mpambano wako hata pambano la heavyweight linakalishwa!
 
Back
Top Bottom