Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230510_085542_Instagram Lite.jpg
 
MASWALI YA MITANDAONI

Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar-
iki 29/04/2023 kifo chake kinatangazwa 04/05/2023, siku
6 baadae?

Hakuna taarifa za Jeshi la Polisi (pia kutoka kwa
tabibu) za kuuwawa kwa (kwa kipigo) Nusura, Moshi,
Kilimanjaro hadi sasa.

Hakuna taarifa za kukamatwa kwa huyo aliyetajwa bila
jina kuwa "mpenzi wake. Mtuhumiwa pia hajatajwa
popote katika taarifa.

UDOM, Wamefahamu vipi alikwenda Moshi kwa
mpenzi wake? Kwanini wamtambue ni mpenzi wake?
Walizungumza na marehemu?

UDOM walijuaje chanzo cha kifo cha Nusura ni kupigwa
na mpenzi wake? Walifanya postmortem? Walipewa
taarifa za kitabibu? Na nani?

1View attachment 2610392
hii inaonyesha jinsi kuna mfumo wa kulindana serikalini, kama naibu waziri analindwa kwa nguvu kubwa hivi
je huyo namba one ataguswa hata akiua mtu live
hii ni alert kuwa hatupo sawa/salama
 
Back
Top Bottom