YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
Aseee ngoja nizisake ila duuuuh itabidi nihamie mambele sasa mkuuu 😁😁😁Hata kama utakuwepo itakuwa bado ni teknolojia ghali sana na ni matajiri wakubwa tu watakaoiweza. Pambana sana huo mwaka ukukute una at least $100+ millions. Hapo mtaenda sawa 😁
Mimi kama nitakuwepo nitakuwa na miaka 99 duh! 😳🙏🏿
Maana huku bongo tuko nyuma nyuma kwenye kila kitu

