Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

20230510_132647.jpg
 
Unafanya kazi serikalini, mshahara wako ni shilingi laki 8. Huna biashara nyingine ye yote lakini kwa mshahara huo huo unamiliki viwanja Mbweni na Kigamboni, unajenga maghorofa Sinza na Tabata, umenunua V8, unasomesha watoto Uchina na Uturuki. Hukuachiwa urithi wo wote na wazazi hivyo anayejua unapataje pesa hizo ni Mungu pekee anayejua na genge unalotumika pamoja nalo. Unawasaidia katika kupora, wewe unabaki na chenji (Amos 5:11).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile MwamakulaView attachment 2616368
Screenshot_20230510_143654_Swahili Bible Offline.jpg
 
I wish niwepo huo mwaka 😁😁😁😁🤗
View attachment 2616170
Hata kama utakuwepo itakuwa bado ni teknolojia ghali sana na ni matajiri wakubwa tu watakaoiweza. Pambana sana huo mwaka ukukute una at least $100+ millions. Hapo mtaenda sawa 😁

Mimi kama nitakuwepo nitakuwa na miaka 99 duh! 😳🙏🏿
 
Back
Top Bottom