Mwanadada Theresia(31) toka nchini Ujerumani amefanya sajari ya miguu kumuongezea urefu ili awe mzuri na mvuto zaidi ambapo imemgharimu dola $161,000 ambazo sio.chini ya shilingi milioni 379
Amesema kabla ya sajari watu walikuwa wakimsema sana vibaya hasa mitandaoni sababu ya ufupi ndio akaamua kufanya sajari lakini hata baada ya sajari amesema watu bado wameendelea kumkalia kooni hajui hivyo hajui afanye nini lakini angalau anashukuru kwasasa ana urefu wa futi 6 ambao umemsaidia kuwa flexible hata akiwa kitandani wakati wa kufanya mapenzi na pia ni matumaini yake urefu wa sajari aliogaiwa utamsaidia katika kazi zake za uanamitindo apate deals zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.