YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
π π π π π π π π Daaaah aseeee hizi shida hizi za kujitafutia zinipite mbali kabisa ππππ
π π π π π π π π Daaaah aseeee hizi shida hizi za kujitafutia zinipite mbali kabisa ππππ
Eeeh hili nalo itabidi nilitazame π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³πππππNilitaka nikuongezee dislike nyingine basi tu πππ
Kwani ndoa ni lazima ufungie kanisani? Kuna za kiserikali. Kuna za kimila....
Hakikisha watoto wako wanalelewa na wazazi wote wawili. Nina miaka 77. Najua ninachokisema!
Vinginevyo huko mbele ni majuto. Kama hutaki kuoa basi nakushauri usizae pia!
bali....Hatumaanishagi wa hivyo πππ