Hao ni waarabu....
Kiaina flani naona aibu taswira ya bikra kuwekwa hadharani kuhakiki uschana wangu badala ya kujisifia na kupata sifa kedekede.....
Hata baadhi ya makabila yalikuwa yakifanya hivyo Tanzania na ilikuwa sifa kwa wazazi wa binti....
Imenifikirisha enzi zetu.....
Kuonesha bibi harusi na bwana harusi walikiwaje kitandani jana usiku...
Baada ya harusi jumamosi, jumapili inaandaliwa party ilikiwa inaitwa inner party (dinner party) na ndugu wa mwanaume ndo waliigharamia.
Maharusi waliingia ukumbini taratibu sana wakitembea hasa bibi harusi alikuwa anatembea kwa tabu sana kuonesha jana baada ya harusi na siku nzima alishughulikiwa kisawasawa.....😅😅😅
Na kwa mwanaume ilionesha uko imara hukuwa legelege hadi bibi harusi mwendo sio....😀😀
Ikitokea bibj harusi amechangamka maana yake mwanaume alizorota....😜
Well ni tamaduni za watu na watu na zinaheshimika mno na jamii husika.
Kasinde.