Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Hata mimi aisee...Dah kweli tumetoka mbali, ung'eng'e na sound zilikua zimelala kichwani, nimekula sana hela za watu wanaomba niwaandikie barua
Nilikuwa na daftari kabisa la sampo mbalimbali. Baharia anachagua anayotaka mi namwandikia...na nilikuwa na handwriting moja matata sana. Hela za vitumbua vya walimu nilikuwa sikosi aisee 😁😁😁