Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1683297451776.jpg
 
Fursa! Fursa! Fursaaaaa!

IMG-20230505-WA0079.jpg


Unaambiwa achana na Matikiti sijui Kuku, sijui Vitunguu sijui Mayai ya kwale hili sasa ndo suluhisho, kilimo cha Nyoka ni suluhisho...

Fikiria uwe na cobra kumi , cobra mmoja anataga mayai sitini, kwa mwezi anatotoa. sitini mara kumi ni 600, 600x12= 7200 kwa hiyo kwa mwaka unakua na cobra 7200 na cobra mmoja anatoa gram 10 za sumu kwa cku sasa inakua ni 7200 x 10= 72000 sasa gramu 72000 x 1880= 135,360,000 hii chukua zidisha mara miezi kumi tuu (ili hesabu iwe rahisi) itakua 135,360,000 10= 1,353,600,000 maanake kwa mwaka mmoja kwa cobra tuu acha black mamba, kifutu nk unakua na bilioni 1.4.

Sasa hapo toa gharama ya panya wa kuliwa na cobra plus usafi hivii ambayo ni ka milioni mia ivi maana Panya nao unafuga tuu apo unawalisha pumba na wayawaya ivi basii sasa mwaka mmoja faida yako ni bilioni moja na kitu kwa mtaji wa cobra kumi tu.

NDUGU ZANGU WAKULIMA NA WAFANYABIASHARA WOTE FURSA HIYO SASA
 
Back
Top Bottom