YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
Watu wanachota hela za kulisha vizazi 7 aseeeee noma kwelikweli
Watu wanachota hela za kulisha vizazi 7 aseeeee noma kwelikweli
or flappier....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unanisemaga we na yule bwana ako wa jf 😂😂😂
Ooh no, ni unanisemaga na yule jirani yako. Siku nitawabadilikia niwaponde 😂😂😃😃😃 Lenie
View attachment 2610975
🐶🐕🦮 nyiee 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tena umenikumbusha, ngoja nimpigie simu tuanze kukudiscuss since sina kazi
Kha ni biashara gani unafanya, sms zote hizo
Maumbea yenu mnaonileteagaKha ni biashara gani unafanya, sms zote hizo
Njoo utudunde🐶🐕🦮 nyiee 😂😂😂😂😂
Ndio maana nanihiuuuuNjoo utudunde
Aki namwambia 🤣🤣🤣Ndio maana nanihiuuuu
Airport 😂😂😂
Uwezo wa kunichamba, hana.😂😂Aki namwambia 🤣🤣🤣
Tena namtumia hii screenshot aone live
Akupigie akuchambe
Usimseme best yangu hivyo tasavali, tumetoka naye mbali yule ujue 🤣🤣🤣Uwezo wa kunichamba, hana.😂😂
Atapata kigugumizi tu venye nitasema Hellow.
Afu atazirai 😂😂😂