Weeee nahamia huko kesho🤣🤣
Za chuo?
wale wale 😂Za chuo?
Hela yangu ilikua inaishia kwenye msosi na mitumba😅
Siku hizi mpk dogo ananiita boss mara tajiri, kisa na ye anajua kuingia ATMZa chuo?
Hela yangu ilikua inaishia kwenye msosi na mitumba😅
Njoo na gari ya magazeti alfajiri 😂😂Weeee nahamia huko kesho🤣🤣
🤣🤣Njoo na gari ya magazeti alfajiri 😂😂
Huku mamaa, mamake, mummie zimejaa
Mtu akiitumia lazima ufeel spesho 🤣🤣🤣
Utamiss sweetheart 🤣🤣🤣
Ndio napaki hapa vitu vyangu alfajiri nidamke
Aki na mimi nataka niitwe majina mazuri😋
Zile hela zinaletaga kaujeuri sana😅Siku hizi mpk dogo ananiita boss mara tajiri, kisa na ye anajua kuingia ATM
Upoje 🤣🤣🤣Utamiss sweetheart 🤣
Dogo unajua nini kuhusu boom na uko form 2wale wale 😂
acha dharau mkizeeka sisi ndo tutawalea, vibao vitageuka 😂Dogo unajua nini kuhusu boom na uko form 2
Muda wa kulipa mlipe bila kelele 😂Zile hela zinaletaga kaujeuri sana😅
😂😂😂 umemkumbuka nani? Mbona kicheko kikaliUpoje 🤣🤣🤣
kimondo kikawa mathayo 7:7kuna siku mimi na dada yangu tuliona kimondo kikubwa mchana kinang'aa hatari ,akaniambia ukiomba chochote hapo unapata
Tumegoma hatuzeeki ng'ooooacha dharau mkizeeka sisi ndo tutawalea, vibao vitageuka 😂
Nimekumbuka 🐝🐝🤣🤣😂😂😂 umemkumbuka nani? Mbona kicheko kikali
Halafu sijawahi kulipia hata mia, siku wakiniotea nitajua sijuiMuda wa kulipa mlipe bila kelele 😂
Utasutwa 😂😂😂😂Nimekumbuka 🐝🐝🤣🤣