Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,747
- 209,112
Waajiri wako tutawashtaki 😂😂Halafu sijawahi kulipia hata mia, siku wakiniotea nitajua sijui
Unapopeleka TIN no si unatakiwa uende na vipengele vya Heslb 😂😂😂😂
Nyie wezi kwenu
Waajiri wako tutawashtaki 😂😂Halafu sijawahi kulipia hata mia, siku wakiniotea nitajua sijui
Tulia🤣🤣Waajiri wako tutawashtaki 😂😂
Unapopeleka TIN no si unatakiwa uende na vipengele vya Heslb 😂😂😂😂
Nyie wezi kwenu
ah wapi.... kwanza najua hapo ulipo tayari una kakitambi ka uchokozi 😂 shangazi style....Tumegoma hatuzeeki ng'oooo
Shangazi bila kitambi yafaa niniah wapi.... kwanza najua hapo ulipo tayari una kakitambi ka uchokozi 😂 shangazi style....