Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kweli siku naona hiyo id nilishtuka, nikasema kibungo kaanza lini matipo πŸ˜‚

Mmoja abadili avatar, msituvuruge
nkakisali2 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndugu emu njoo kidogo.
Na anaandika habari za R City. Nyieeee 🀣🀣

Basi Beshtie. Alinambia kuna jambo analifatilia, akikamilisha atanambia. Nikambana aniambie, akanikazia hiyo Siku. Nikamuacha baada ya siku mbili nikamrudia, si ndo kuniambia na yeye mambo za hii ID πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…