Aisee kijana wa hovyo sana huyu[emoji23][emoji23]
Ndoto ya kila mwanaumeView attachment 2596762
Nilidhani ni kwangu pekee. Kumbe hii shida iko kote!Uzi ulikuwa mtamu issue wiki 2 - 3 za hapa karibuni picha hazifunguki ,imekata vibe lote la kuja huku.
Wengi wamepata hii shida na option iliyopo ni kutumia browserNilidhani ni kwangu pekee. Kumbe hii shida iko kote!
Mheshimiwa Wakili omba Mungu yakukute siku moja ndipo utakapojua tofauti kati ya theori na praktiko.