Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nitamkosa mwana aisee
Screenshots_2023-04-16-19-38-36.jpg
 
Kuna msemo wanasema, wanawake kwa wanawake hatupendani, tunaoneana wivu, chuki, tunarudishana nyuma kimaendeleo n.k.

Ila..... wanaume kwa wanaume ndo eanafanyiana ukatili mbaya sana.....
Wa kuharibiana kinyeo...🤨🤨

Halafu wanasababisha sisi ke tunazidi kugombea me wachache wanaozidi kupungua kila siku...😏.

Wanaamini wakiwekeza kwa mshua, akipata K ikamzungushia uno feni atagawa mali zake kumbe hata mama akipelekewa moto anarithisha mali za mwanae mchana kweupeee....😅😅😅.
kwaiyo wewe ukipelekewa moto unagawa mali zako sio? Duuh akianani kumbe kuna wabibi mijinga hivyo humu aseeee nimekushusha hadhi kumbe unaweza kuzeeka ukawa mjinga na mpumbavu kama ww oy babu Shimba ya Buyenze embu mrekebishe kikongwe hicho anatema pumba hapa mtandaoni na uzee wake wote sijui ka lewa au ni nn. 🤔🤔

Laiti mngejua wanawake mnavyochukiana usingeandika huo uozo hapo juu nawaonea huruma watoto na wajukuu zako maana wana mbibi mjinga sana 😖😖😖😖😖 duuuh
 
Back
Top Bottom