Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Attachments

  • IMG_20230416_203706.jpg
    IMG_20230416_203706.jpg
    69.1 KB · Views: 16
Kwaiyo wewe ukipelekewa moto unagawa mali zako sio? Duuh akianani kumbe kuna wabibi mijinga hivyo humu aseeee nimekushusha hadhi kumbe unaweza kuzeeka ukawa mjinga na mpumbavu kama ww oy babu Shimba ya Buyenze embu mrekebishe kikongwe hicho anatema pumba hapa mtandaoni na uzee wake wote sijui ka lewa au ni nn. 🤔🤔

Laiti mngejua wanawake mnavyochukiana usingeandika huo uozo hapo juu nawaonea huruma watoto na wajukuu zako maana wana mbibi mjinga sana 😖😖😖😖😖 duuuh

Ukiukubali ukweli utakuweka huru...
Ukweli unauma pia hasa ukiwa unakuhusu...
Uamuzi ni wako, uachana na ukatili wa jinsia yako uwe huru, hutopata maumivu tena.
Ukiendelea kushupaza shingo, ukweli utakuwa unakuumiza kila uchao....

Rangi uliyotumia kwenye maandishi yako......
Kila atayesoma atatafsiri kivyake...

Out of Quote: Only gentlemen are men enough.....
 
Back
Top Bottom