Mungu ibarik
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,376
- 11,520
Walionielewa wamenielewaRaha nenda selfika ww au wa vyakula
Mzee kwenye tunda kimasihara tunasubiria kisa chako mkuuu vipi mbona kinachelewaKuna ishu naisikilizia..View attachment 2589834
Mkuu kule nitaleta kisa kizima nipe muda..Mzee kwenye tunda kimasihara tunasubiria kisa chako mkuuu vipi mbona kinachelewa
SawasawaMkuu kule nitaleta kisa kizima nipe muda..
Are you normal??🤣🤣
DJ. SYB Atakuwepo kukupa vitu vikaliTukutane Bulyaga Bar Temeke kwa muziki motomoto, pisi za uhakika, nyamachoma (kitimoto included) huku tukiangalia mechi kali ya watani wa jadi kwenye screen kubwa HD.
DJ. SYB Atakuwepo kukupa vitu vikali!
Usikose!
View attachment 2589634

Tuko wengi, mi ht nimezoea tu maana tumeshalalamika sana ila bilaWajemeni! Sipati raha kabisa sio kwa web wala app, picha hazifunguki kabisa. Ndugu mshana aliniekekeza kimtafuta moderator lakini sijafua dafu, nime uninstall na kui rudisha pia hola! Sijajua ni mimi mwenyewe inanikuta hii kadhia au lah!
Dah! Yaani hamna raha kabisa sijui imekaaje hii! Kama tunafungua biblia, ni maandishi tu hamna pichaTuko wengi, mi ht nimezoea tu maana tumeshalalamika sana ila bila
Mbona hadi kuna uzi wake, watu kibao wan hili tatizoDah! Yaani hamna raha kabisa sijui imekaaje hii! Kama tunafungua biblia, ni maandishi tu hamna picha
Aisee! Basi hili swala limenitesa kama week sasa dah! Kama limefunguliwa na uzi, itabidi jamaa watoe update maana ni muda mrefu sana hawajatoa update, pia kuna muda app ina stuck sanaMbona hadi kuna uzi wake, watu kibao wan hili tatizo
Nimei download imenishinda nikaifutaWanataka wote tutumie hii app yao ambayo ipo web- based....
![]()
App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APPwww.jamiiforums.com