Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hebu toa maelezo vizuri mkuu. Ni wapi hasa anapatikana huyu Mama Ntilie?
Shuka garage. Upande wa sheli ya victoria, unaambaa na huo ukuta kama unapandisha kibaranara uchwara. Road ya kwanza kulia kuna jamaa wanauza supu au kiepe kuna mama mmoja anapika misosi pale wamejaa wachaga tupu.

Huyo dada mwenye msambwanda ni muhudumia watu misosi.
Nenda kajionee mali ziko kwa mchanga

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wa dar wakienda huko
JamiiForums1397039397.jpg


Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom