Itabidi zingine awe anazipeleka kwenye uzi wake huku:@Smart911 inaonyesha gallery yako picha za wadada warembo zipo za kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yake kazidi lugha chafu.Uyo jamaa wa kuitwa MTU_WA_MUNGU ameshakula ban[emoji23][emoji23][emoji23]uyo jamaa muhuni sana ye kila siku ID mpya na bado wanamla kichwa[emoji23][emoji23][emoji23]