Mwache mwenzio atubu bila kumhukumu. Pasaka njema Mama Kijacho [emoji1545]
Mungu wangu [emoji23][emoji23][emoji23] .. Usingenanga wapare ningekualika hukuKwa jinsi walivyo, si ajabu humo ndani wamejaza matunguri ya shujaa wao Mshana Jr; na makande [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2581833
Bila ugali ni kupotezeana muda tu [emoji51]Mungu wangu [emoji23][emoji23][emoji23] .. Usingenanga wapare ningekualika huku View attachment 2581860
Hii ID ni nzuri.[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji3590]
View attachment 2581926
Haha hili ni tako la mamylove mkuu au umemtag tu 😁😁😁😁 ilimradiHii ID ni nzuri.
Mtu wa Mungu!
Mwema!
Asiyependa ugomvi!
Asiyepigwa ban hovyo hovyo!
Dumu na hii ID na fanya kila uwezalo usitandikwe ban tena [emoji1545]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Hapo nadhani itakuwa Uyole au Tukuyu. Naamini nimepatia.
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Mishangazi ya bondeni kwa Madiba hiyo [emoji16]
View attachment 2581928
Umeshaanza. Sijui tu ukoje. Always looking for trouble! [emoji706][emoji706][emoji706]Haha hili ni tako la mamylove mkuu au umemtag tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ilimradi