Sheria zetu dhaifu jizi kama hiki linaachiliwaje huru! 🤔
Lile sanamu tulipigwa 😀Anamzidi yule fundi wa Kigwangalla aliyetengeneza lile sanamu la Nyerere kipindi kile...
🤣🤣🤣Amazon forest ilee
Yuda Iskariote akala mchongo wa vipande 30 vya fedha mwisho wa siku akaishia kujiua 😀