Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,898
Daaah! 🤔🤣
Daaah! 🤔🤣
Watu ni wasumbufu jf [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sina namna lkn View attachment 2579212
Asante babu ila watu wanakera sanasana huyu Chizi Maarifa acha tu mkuuuView attachment 2579338
Bado mdogo. Ukikua kua huko kwenye 25 huko pengine utakuja kugundua kuwa haikuwa na ulazima wo wote wa kuporomosha matusi mazito namna hata kama unaamini hakuna akujuaye.
Hata mimi kuna siku ulishaniporomoshea matusi mazito tu bila sababu mpaka nikaja PM kukuomba ufute matusi yale Nikawa nasema huyu mjukuu wangu kabisa tena wa mwisho huko anapata wapi nguvu za kunitukana hivi tena bila sababu?
Mungu Azidi kukuimarisha kwa jinsi unavyoongeza miaka pia uongeze busara, uvumilivu, upendo na roho ya kusamehe. Maisha! [emoji1545]
Ama kweli magufuli alitunyoosha mwanamke hafai kuwa kiongozi matokeo yake ndo haya kipindi cha mzee ujinga wote huu haukuwepo kabisa 🤢🤢🤢🤢Acha itafunwe tu maana hakuna namna! [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2579343
🤢🤢🤢🤢🤢🤢Wakati mwingine tutaishia kulaumu mafundi bure tu [emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2579345View attachment 2579346
Wacha woga peleka moto peku pekuHii weeknd ma super dupa yutong mtanikoma [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sio kwa tension hii asee [emoji3062][emoji3062][emoji1784]
View attachment 2579125