Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,382
Likely ni kampeni za wenye mtandao hizo. Usijekuta hata wamiliki wenyewe wako kwenye payroll ya hao jamaa maana they have money, power and influence. Mambo ya kushangaza sana!Yule itakua analipwa kusambaza mambo yalee haiingii akilini kujichetua namna ile ingekua ni mimi yaani akifungua ID mpya nakula kichwa.