Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,478
- 203,121
😂😂 fia hapo🤣🤣🤣
Roho mbaya tu
Naomba namba za Dr anipatie supplements
😂😂 fia hapo🤣🤣🤣
Roho mbaya tu
Naomba namba za Dr anipatie supplements
Ngoja niendelee kuzurura 😂WABONGO TUNAGAWANA MAJUKUMU KATIKA JIJI LA DARES-SALAAM KAZI KWELI IPO HAPO...............
DAR bwana
Tunagawana majukumu tuu
"Wizi" MBAGALA
"umbea" MWANANYAMALA
"mapenzi" KIGAMBON
"vibaka" KARIAKOO
"majivuno" MASAKI
"majungu" TANDALE
"ushamba" BOKO
"ustaarabu" POSTA
"Ulevi" MANZESE
"chumaulete" MWEMBE CHAI
"utajiri" IKULU
"utapeli" UBUNGO
"uchafu" ILALA
"uzururaji" TEGETA
"elimu" KISUTU
"kujiskia" SINZA
"Uswahili" TEMEKE,
"ukimwi" BUGURUNI
"limbwata" KIGOGO
"uchawi" GONGO LA MBOTO,
"Mbwembwe" TANDIKA,
"ushoga" MAGOMENI,
"uchangudoa" KINONDONI,
"kula nguruwe" KIMARA
"kula sadaka" TABATA
"maji taka" MABIBO
"pombe kali" MBEZI
"supu mbovu' VNGUNGUTI
'usalama' KITUNDA
Jamani DAR. wewe kati ya hizo upo mtaa gani?
Nami wacha niendelee zangu kula nguruwe😋😋Ngoja niendelee kuzurura 😂
Tapeli weNami wacha niendelee zangu kula nguruwe😋😋
Si kaka alinionyesha mitaa nikanogewa nguruwe watamu 🤣🤣Tapeli we
Kwenye nguruwe umefika lini? Au za kaka 😂😂😂😂
😂😂 napimia huo mwendo wa Masaki mpk Kimara kisa mduduSi kaka alinionyesha mitaa nikanogewa nguruwe watamu 🤣🤣
Sina hela na kila demu nikimwambia kuhusu ndoa anasema kuwa hawezi olewa na mwanaume mwenye kibamiaSisi wa 2003 haituhusu 😁😁😁😁
View attachment 2576776
Uje siku nikupeleke kwenye mdudu, utahama huko unakoishi😂😂 napimia huo mwendo wa Masaki mpk Kimara kisa mdudu
Itakuwa hatoi tigo🤣🤣🤣🤣Lenie 😂😂😂 una kazi tu ya kulamba asali View attachment 2577057
Hapo ujue anataka umtie mimba tuu. Ambaye hataki mimba anakusukuma mbali kabisa