Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Lijendi! [emoji16][emoji119][emoji119]

View attachment 2578187
Kizuka TPDF kipindi hicho [emoji16] mtoto wa mkuu wa kambi wa kipindi hicho alikua anaitwa jumapili[emoji43]kapwani alikuja bwenini na laptop ya baba ake [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] ikaibiwa! Mwe mwe mwee! Tulikoma, wakati huo yeye mwenyewe( mtoto) yupo hosp ya shule kesha bwia ngao ya kidonge na ngao ya maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuliiva kuanzia mademu zake mpaka marafiki na bweni zima! Ziliingia KIA tatu zimejaa MP[emoji1787][emoji1787][emoji1787] TULIIVA na haikupatikana
 
IMG-20230406-WA0065.jpg
 
Back
Top Bottom