Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,701
Mtu na kakaake wameumana😂😂😂
na ndiyo tundu lenyewe sasa... ukisikia watu wenye umri mkubwa wanakwambia sina hata tundu basi ujue wanamaanisha TUNDU=1 HELLER
Kama siwezani niliwezaje kumzalisha? Tena hizi SDY hazihitaji kazi kubwa sana!Utawezana au basi fahari ya macho





instagram.com
Mtu tayari alikua na gari yake. Usimchukulie poaKwa ma jobless wenzangu 💨💨😀 trust the process View attachment 2573504