Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,380
Ndiyooo!
️
️
️
️
️
️
️
️
️





Itakuwa paka aligegedwa usiku maana sio kwa kulala huko🤣🤣🤣🤣Daah, ila haya MAISHA jamani!! Kila MTU ana SIRI yake, ngoja mie nisikilize GOSPEL YA JUMAPILI..😂😂😂

South African gangster bitch.
.
Na Kuna mmoja 2007 aliosha gari na bia pale Hai (bomang'ombe) na kwenda kupiga picha na Ray C kwa sasa nasikia anahitajika kuwekwe kwenye kaya maskini za kupata ruzuku ya TASAF pia kabda ya sabaya kuwekwa ndani nadhani alishakamatwaga kwa kosa la kuuza fedha bandia ila kwa taarifa za hivi karibuni nasikia kashatoka
Ni aina ya wale wadau wa madini.
Mmoja alilipia sururu lake chumba kizuri kwenye moja ya hotel ghali kabisa pale A town.
Mwingine hujiita tajiri Ndaki (msukuma huyu). Back in the days, aliwahi kuosha gari kwa 'vyombo' pale migomigo kwa macheni.
#PESA
Herufi nne tu ila balaa lake si dogo