alphonce.NET
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,721
- 6,074
Aliyembeba huyo mlevi ni mwanaume kwa hiyo suala la kupata watoto halipo!Katabia haka unaweza kuta anasaidiwa na wenzie kupata kupata Familia, halafu anatamba ninawatoto. Kazi ipo, wadada Mungu awajalie pepo kwa uvumilivu wenuView attachment 2573054
Wengi walioshindilia manyama matakakoni wakigonga 40s huko inabidi wayatoe maana yanawaletea matatizo mengi ya kiafya. Ukimsikiliza huyu rapper uchwara wa kujiita Ms Miami mpaka unasikitika. Hata hawa waliojaza matako ya Mchina ngoja tu wagonge 40s huko tutaona!