Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nitumie hizo notse kwny xender yangu
20230401_191653.jpg
 



Ni aina ya wale wadau wa madini.

Mmoja alilipia sururu lake chumba kizuri kwenye moja ya hotel ghali kabisa pale A town.

Mwingine hujiita tajiri Ndaki (msukuma huyu). Back in the days, aliwahi kuosha gari kwa 'vyombo' pale migomigo kwa macheni.

#PESA

Herufi nne tu ila balaa lake si dogo
 
Back
Top Bottom