Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Ni kweli.View attachment 2557756
Siyo kweli [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Scientifically proven...
Bao moja unajua lina mbegu kiasi gani?
Unajua mbegu zinavyotengenezwa?
Semen retention ndiyo siri kubwa ya monks ambao ukimkuta ana miaka 60 utafikiri ndiyo kwanza yuko late 30. Mtu ni rijali lakini ana miaka zaidi ya 30 hajapiga bao.
Sperm retention = longevity and vitality