Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1678937129072.jpg
 
Kama ni China atatoboa maana tabia zake zile ndiyo zimewafikisha pale walipo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Leo kuna limvua hapa Dar Mkinga...

Na kibaridi....
Hicho kibaridi mimi naamka nacho kila siku na hakuna siku ulinihurumia[emoji16][emoji16] pambana na hali yako
 
Sitasahau siku nilipoiba baisikeli Swala mpya kabisa tena ya mgeni nikaenda nayo mjini. Ile navuka tu barabara ya kwanza pikipiki ikaja full force ikanigonga. Bahati mbaya mi sikuumia ila baisikeli ikawa haibebeki....

Kama kuna siku niliyopata kasheshe na kuijua dunia ilivyo ni siku hiyo. Halafu ndo kwanza niko darasa la 4 dah!View attachment 2557818
Bahati mbaya hukuumia? [emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom