Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1679108030965.jpg
 
Hamna kitu hapo. Na hawatadumu maana huyo mwanamke ataendelea ku-cheat tu. Labda kama wataishia kuwa na open marriage....
View attachment 2555898

Babuuu, nilijizuia kusimulia kisa kimoja ila ngoja nisimulie walau kwa kifupi.

Denis alikuwa chuo na mpenzi wake Nyanzobe, karibu wanafunzi wote wa chuo walijua mahusiano yao. Denis aligraduate na kuanza kazi (nilikuwa nafanya nae ofisi moja) ila alimuacha Nyanzo akiwa mwaka wa 2 na mapenzi yao yaliendelea. Kufika mwaka wa 3 Nyanzo akapata ujauzito wa mwanaume mwingine (yasemekana kijana asiye na mbele wala nyuma).

Denis aliumia sana ila alimpenda sana Nyanzobe, akamsamehe na akailea mimba ya Nyanzo mwanzo mwisho. Nilikuwa dawati la jirani na Denis, siku Nyanzo anaenda kujifungua aliniambia dada Kasie, hata sina raha, nini tena Denis...! Mpenzi wangu leo anajifungua yaani hata akili haipo, sijui ntafanyaje, nikamwambia nenda, ill cover your ass when a boss asks....😛

Kesho yake kaja kazini na heko tele, nini ...!!? Dada Kasie, Nyanzo kajifungua mtoto wa kiume, kidume changu sijui nimuite jina gani....!!!😔😔
Baada ya stori mbili tatu nilimruhusu tena kishkaji na kumwambia enjoy niggas paternity off.
Huku nyuma kijana mmoja ndo akasema huyu Denis kalogwa na Nyanzobe, mdada mwenyewe hata sio mrembo sana, mzuri ila sio kivileee, chocolate colour yes, natural always, comes from good family ila hana manners kabisa...!!!
Alishawahi vuta bangi na marafiki zake wengi ni wanaume hao wavuta bangi, ila ana akili sana za darasani. Ndo huyo mmoja wa bestie boy friend mimba ikatungwa mwenyewe akamwambia Denis mimi na huyu kijana hatuna mapenzi it just happens, kwani huyo bestie pia ana girlfriend wake.....!!!

Kweli Nyanzo akamaliza chuo Denis analea mtoto wakapanga nyumba moja wakawa wanaishi kama mume na mke. Nyanzo akapata mtoto wa pili huyu Denis akajua ni wake ila wananchi wanasema ni wa yule bestie boy friend....😧😧😧 kama mwanaume inaumaaaa.... unadanganywa mara ya pili...

Sijui nini kilitokea ila mama yake Denis ni wamama ambao anafatilia mambo ya familia yake, hakumkubali Nyanzobe tangu anamimba ya bestie, maana hata Denis ametoka familia bora.

Na kumpoteza mwanae akae mbali na Nyanzobe mama mtu akampeleka Denis kufanya masters uingereza mwaka 1 na nusu.

Huku nyuma wananchi wakasema Nyanzo akawa analiwa na bestie ila Denis ndo kafa kaoza haelewi hasikii haambiwi..... (hiyo mimi ndo niliisema kwenye zile picha pale juu kama true love).

When a person loves for real, he can forgive and forgets, that's true love ambayo hata mimi sina...😊😊 (am being honest).

As of today, Denis alioa binti mwingine shombe wa kijerumani na kichaga, mremboo mweupeee. Ila hadi leo hii hawajapata mtoto....😔😔.

Wananchi ndo wakamalizia kusema Denis hana uzazi ila haijulikani binti chotara hataki mtoto au ndo hawajabarikiwa tuu....!

Hayanihusu ila imebidi nielezee tuu hii stori japo nimeshindwa kufupisha.

You are right, I agree with you; once a cheater, always a cheater. For the sake of Nyanzobe.

But this does not stop a one with true love to truly love. For the sake of Denis.

My worry is, sijui kama huyu chotara alimpenda kikweli au ndo ilibidi aoe tuu kujiepusha na mapicha picha ya Nyanzobe na mama yake kuwa strict...🤔.

Screenshot_20230317-224657_Chrome.jpg

Mfano wa Nyanzobe

Screenshot_20230317-225349_Chrome.jpg

Mfano wa aliyeolewa na Denis.

Alamsiki.
 
Babuuu, nilijizuia kusimulia kisa kimoja ila ngoja nisimulie walau kwa kifupi.

Denis alikuwa chuo na mpenzi wake Nyanzobe, karibu wanafunzi wote wa chuo walijua mahusiano yao. Denis aligraduate na kuanza kazi (nilikuwa nafanya nae ofisi moja) ila alimuacha Nyanzo akiwa mwaka wa 2 na mapenzi yao yaliendelea. Kufika mwaka wa 3 Nyanzo akapata ujauzito wa mwanaume mwingine (yasemekana kijana asiye na mbele wala nyuma).

Denis aliumia sana ila alimpenda sana Nyanzobe, akamsamehe na akailea mimba ya Nyanzo mwanzo mwisho. Nilikuwa dawati la jirani na Denis, siku Nyanzo anaenda kujifungua aliniambia dada Kasie, hata sina raha, nini tena Denis...! Mpenzi wangu leo anajifungua yaani hata akili haipo, sijui ntafanyaje, nikamwambia nenda, ill cover your ass when a boss asks....

Kesho yake kaja kazini na heko tele, nini ...!!? Dada Kasie, Nyanzo kajifungua mtoto wa kiume, kidume changu sijui nimuite jina gani....!!!
Baada ya stori mbili tatu nilimruhusu tena kishkaji na kumwambia enjoy niggas paternity off.
Huku nyuma kijana mmoja ndo akasema huyu Denis kalogwa na Nyanzobe, mdada mwenyewe hata sio mrembo sana, mzuri ila sio kivileee, chocolate colour yes, natural always, comes from good family ila hana manners kabisa...!!!
Alishawahi vuta bangi na marafiki zake wengi ni wanaume hao wavuta bangi, ila ana akili sana za darasani. Ndo huyo mmoja wa bestie boy friend mimba ikatungwa mwenyewe akamwambia Denis mimi na huyu kijana hatuna mapenzi it just happens, kwani huyo bestie pia ana girlfriend wake.....!!!

Kweli Nyanzo akamaliza chuo Denis analea mtoto wakapanga nyumba moja wakawa wanaishi kama mume na mke. Nyanzo akapata mtoto wa pili huyu Denis akajua ni wake ila wananchi wanasema ni wa yule bestie boy friend.... kama mwanaume inaumaaaa.... unadanganywa mara ya pili...

Sijui nini kilitokea ila mama yake Denis ni wamama ambao anafatilia mambo ya familia yake, hakumkubali Nyanzobe tangu anamimba ya bestie, maana hata Denis ametoka familia bora.

Na kumpoteza mwanae akae mbali na Nyanzobe mama mtu akampeleka Denis kufanya masters uingereza mwaka 1 na nusu.

Huku nyuma wananchi wakasema Nyanzo akawa analiwa na bestie ila Denis ndo kafa kaoza haelewi hasikii haambiwi..... (hiyo mimi ndo niliisema kwenye zile picha pale juu kama true love).

When a person loves for real, he can forgive and forgets, that's true love ambayo hata mimi sina... (am being honest).

As of today, Denis alioa binti mwingine shombe wa kijerumani na kichaga, mremboo mweupeee. Ila hadi leo hii hawajapata mtoto.....

Wananchi ndo wakamalizia kusema Denis hana uzazi ila haijulikani binti chotara hataki mtoto au ndo hawajabarikiwa tuu....!

Hayanihusu ila imebidi nielezee tuu hii stori japo nimeshindwa kufupisha.

You are right, I agree with you; once a cheater, always a cheater. For the sake of Nyanzobe.

But this does not stop a one with true love to truly love. For the sake of Denis.

My worry is, sijui kama huyu chotara alimpenda kikweli au ndo ilibidi aoe tuu kujiepusha na mapicha picha ya Nyanzobe na mama yake kuwa strict....

View attachment 2555970

Mfano wa Nyanzobe

View attachment 2555971

Am a woman, but am trying to understand this woman, a black woman....

Is she deep in love with dogs...!!!(halafu kuna mahala nimeona dogi kadindisha...😛, ila katoa haraka haraka).

Wanaume wameshamtenda hataki tena kukea wanaume...!!??

Hana uwezo wa kuzaa tena akamhudumia mtoto wa kumzaa namna hiyo...?

Huo muda, hela na nguvu anayoonesha anamjali na kumhudumia huyo mbwa, angemfanyia mwanadamu....😍😍😍

Ila kuna msemo, fadhila mfadhili mbuzi utamla mchuzi, binadamu atakuudhi....🤷‍♀️🤷‍♀️.

Mbwa anapakwa coconut oil, mikono ya huyo dada, hebu mwanaume fikiria ndo unafanyiwa massage na hiyo mikono.....!! So tender...

Well ndo mambo ya mitandaoni hayo.

Ngoja niendelee kuvuta ugoro niongeze stimu 😋.
 
Babuuu, nilijizuia kusimulia kisa kimoja ila ngoja nisimulie walau kwa kifupi.

Denis alikuwa chuo na mpenzi wake Nyanzobe, karibu wanafunzi wote wa chuo walijua mahusiano yao. Denis aligraduate na kuanza kazi (nilikuwa nafanya nae ofisi moja) ila alimuacha Nyanzo akiwa mwaka wa 2 na mapenzi yao yaliendelea. Kufika mwaka wa 3 Nyanzo akapata ujauzito wa mwanaume mwingine (yasemekana kijana asiye na mbele wala nyuma).

Denis aliumia sana ila alimpenda sana Nyanzobe, akamsamehe na akailea mimba ya Nyanzo mwanzo mwisho. Nilikuwa dawati la jirani na Denis, siku Nyanzo anaenda kujifungua aliniambia dada Kasie, hata sina raha, nini tena Denis...! Mpenzi wangu leo anajifungua yaani hata akili haipo, sijui ntafanyaje, nikamwambia nenda, ill cover your ass when a boss asks....

Kesho yake kaja kazini na heko tele, nini ...!!? Dada Kasie, Nyanzo kajifungua mtoto wa kiume, kidume changu sijui nimuite jina gani....!!!
Baada ya stori mbili tatu nilimruhusu tena kishkaji na kumwambia enjoy niggas paternity off.
Huku nyuma kijana mmoja ndo akasema huyu Denis kalogwa na Nyanzobe, mdada mwenyewe hata sio mrembo sana, mzuri ila sio kivileee, chocolate colour yes, natural always, comes from good family ila hana manners kabisa...!!!
Alishawahi vuta bangi na marafiki zake wengi ni wanaume hao wavuta bangi, ila ana akili sana za darasani. Ndo huyo mmoja wa bestie boy friend mimba ikatungwa mwenyewe akamwambia Denis mimi na huyu kijana hatuna mapenzi it just happens, kwani huyo bestie pia ana girlfriend wake.....!!!

Kweli Nyanzo akamaliza chuo Denis analea mtoto wakapanga nyumba moja wakawa wanaishi kama mume na mke. Nyanzo akapata mtoto wa pili huyu Denis akajua ni wake ila wananchi wanasema ni wa yule bestie boy friend.... kama mwanaume inaumaaaa.... unadanganywa mara ya pili...

Sijui nini kilitokea ila mama yake Denis ni wamama ambao anafatilia mambo ya familia yake, hakumkubali Nyanzobe tangu anamimba ya bestie, maana hata Denis ametoka familia bora.

Na kumpoteza mwanae akae mbali na Nyanzobe mama mtu akampeleka Denis kufanya masters uingereza mwaka 1 na nusu.

Huku nyuma wananchi wakasema Nyanzo akawa analiwa na bestie ila Denis ndo kafa kaoza haelewi hasikii haambiwi..... (hiyo mimi ndo niliisema kwenye zile picha pale juu kama true love).

When a person loves for real, he can forgive and forgets, that's true love ambayo hata mimi sina... (am being honest).

As of today, Denis alioa binti mwingine shombe wa kijerumani na kichaga, mremboo mweupeee. Ila hadi leo hii hawajapata mtoto.....

Wananchi ndo wakamalizia kusema Denis hana uzazi ila haijulikani binti chotara hataki mtoto au ndo hawajabarikiwa tuu....!

Hayanihusu ila imebidi nielezee tuu hii stori japo nimeshindwa kufupisha.

You are right, I agree with you; once a cheater, always a cheater. For the sake of Nyanzobe.

But this does not stop a one with true love to truly love. For the sake of Denis.

My worry is, sijui kama huyu chotara alimpenda kikweli au ndo ilibidi aoe tuu kujiepusha na mapicha picha ya Nyanzobe na mama yake kuwa strict....

View attachment 2555970

Mfano wa Nyanzobe

View attachment 2555971

Mfano wa aliyeolewa na Denis.

Alamsiki.
Kasie i have a tale to confess but rippen time not yet due! A sad painful to tell.. Our past has so many footprints left behind.. Some of them uglier...! Those narrated words are still very clear to my ears..echoes with tremendous vibrations .... Mshana usiondoke! But i had to go.. Morever i wish IF i can turn back the time..
 
If not here, its okay we can have our tale cubicle....

Nakuelewa sana kuliko and belive me, the way you speak it out... you will be released and enlighten from what has burdens you all these time....

Just know that, you have my shoulder to lean on.
 
Back
Top Bottom