Sie domo zege tulipata tabu sana shuleni.
Kweli kabisa maana unatumia hela kumfurahisha mwanadamu mwenzio ambaye hakupendi
Elimu ya uzazi imewaingia haswa mpaka wanashindwa kuzaliana...Wana -ve population growth (kwa wazungu) na wanapambana kufa na kupona taifa lao lisikome kuwepo na/au kuzidiwa uwingi na wageni....
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Kweli kabisa maana unatumia hela kumfurahisha mwanadamu mwenzio ambaye hakupendi
Kumbe hiki kitufye kipo [emoji23]Kamanda Sex addict. Acha kugawa dislike kama njugu. Hizi ni memes tu tunajifurahisha. Nothing serious [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2541580
Ukiwa na kila kitu unakuwa huoni tena faida ya kuwa na watoto.Elimu ya uzazi imewaingia haswa mpaka wanashindwa kuzaliana...