Wana -ve population growth (kwa wazungu) na wanapambana kufa na kupona taifa lao lisikome kuwepo na/au kuzidiwa uwingi na wageni....
Unamaanisha hiyo ofa ni ya wazawa tu???Wana -ve population growth (kwa wazungu) na wanapambana kufa na kupona taifa lao lisikome kuwepo na/au kuzidiwa uwingi na wageni....
😂😂 bongo bahati mbaya
Hawawezi kufanya hivyo maana wataonekana wana bagua.Unamaanisha hiyo ofa ni ya wazawa tu???