Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kwa hakika tunayo [emoji16][emoji16][emoji16]
YAnatibu kwa njia ya mtandao
Huyo dogo ndo alikuwa anampelekea moto huyo afande?
Sijaiona connectionHuyo dogo ndo alikuwa anampelekea moto huyo afande?
Too late mkuu, jua lishazama ndiyo unatukumbusha , ulikua wapi siku zote hizo
Wakati nahangaika huko pm kwako sii ulikuwa unasema utaki kudate ba mwanaume mwenye kibamia na ni bodaboda. Unataka tall dark and handsome 🤣🤣🤣🤣Too late mkuu, jua lishazama ndiyo unatukumbusha , ulikua wapi siku zote hizo