Hawa wazinzi fake kabisa. Mzinzi orijino hapaswi kuogopa ngoma
Hawa wazinzi fake kabisa. Mzinzi orijino hapaswi kuogopa ngoma






Nipo kwa mwamposa hapa,ndoa zinasakwa,na umri ushaenda full stress


Dah 😀😀😀 ebu niacheWakati nahangaika huko pm kwako sii ulikuwa unasema utaki kudate ba mwanaume mwenye kibamia na ni bodaboda. Unataka tall dark and handsome 🤣🤣🤣🤣
Watu wapo siriazi aiseeKamanda Sex addict. Acha kugawa dislike kama njugu. Hizi ni memes tu tunajifurahisha. Nothing serious
View attachment 2541580