Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,379
Alaf wakirud bongo wanatuletea dharau waendesha bodaboda
Huyo kamanda hakuwa na exposure ndo ilikuwa mara yake ya kwanza kwenda ughaibuni labda. Maana karudi tu ni shida! Sasa anashambulia mpaka ugali na Wasukuma tunamwangalia tu 😁😁😁Alaf wakirud bongo wanatuletea dharau waendesha bodaboda
Nongwa hiyoFACT: Waitara anauwezo wa kunywa lita 10 za gongo kwa siku 1, kwa upande wa wabunge wa ukanda wa kusini mwa sahara anashikilia rekodi ya kunywa gongo nyingi kwa siku.View attachment 2542668
Thaman ya hiyo sukar bora angenunua kipande cha papa na kukichoma
Acheni utani na klabu za watu. Mtashtakiwa
Au labda asali waliyolambishwa imewalevya???Huyo kamanda hakuwa na exposure ndo ilikuwa mara yake ya kwanza kwenda ughaibuni labda. Maana karudi tu ni shida! Sasa anashambulia mpaka ugali na Wasukuma tunamwangalia tu
View attachment 2543026
Tusitishane,pisi zipo nyingi tusipojituma tutadharaulika. Tupigeni miti ya kutosha wajomba.
Nyani Ngabu?Vile MTANZANIA amepata BLUE COLLAR JOB nchini MAREKANI.. 😂😂😂