Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Dactar huo ukorofi😂😂😂😂😂Kwa sababu uko na Poor Brain
Samahani mkuu spf ni nin😅😅😅 hujanizoom vizuri itakuwa
Inasaidia kiasi
Ngozi haikomazwi na jua
unatumia kwenye browser kama google tu.. me natumia kwenye chrome.. link yake hii hapaPole mkuu. Ni mbwembwe za huyo Mpare
Hiyo ChatGPT unaipata wapi na inatumikaje? Nimeona vyuo vikuu vingi huko nje wanahaha kutafuta namna ya kuidhibiti maana hata wanafunzi vilaza wameanza kuandika paper zenye uchambuzi safi kabisa mpaka maprofesa wanashangaa...
Hapo hapo Google nao wana ya kwao na Elon Musk naye ana sijui kitu gani hatari zaidi. Dunia inakwenda kasi sana na kila mtu ana wasiwasi na hii AI. Kazi nyingi zinakwenda kupotea!
Sun protection factor- sunscreenSamahani mkuu spf ni nin
Maneno yote hata sababu tu ya Valentine.... HahahahNinyi ni baba zetu
Waume zetu
Walinzi wetu
Kifupi ninyi ni kila kitu kwetu...bila ninyi hii dunia sijui ingekuwaje....kwanza hata isingekuwepo
Hakika, Hawa viumbe mambo Yao hayanaga miongozo...Valentines tu ikipita mnalianzisha tena kutuita mbwa. Hatudanganyiki!
Huyu mwanamke kuna connection yake anagongwa mpaka nya inamtoka anafurahia tu...Huyu siyo SDY. SDY lazima liwe tinginya, umbo mkatiko, mtako huooo umemwagika na ikibidi guu la bia.....
View attachment 2507415
Unayo mkuu? Naiomba PMHuyu mwanamke kuna connection yake anagongwa mpaka nya inamtoka anafurahia tu...
Asante sana.unatumia kwenye browser kama google tu.. me natumia kwenye chrome.. link yake hii hapa
![]()
ukifungua watakuhitaji ujisajiri me nilisign in kwa kutumia google account (email)
after itakuja kama sehemu ya kutype message hivi unatype unachotaka kujua majibu yanakuja...
huu mfumo ni mzuri kwa kuwa unasaidia kusearch vitu na kukupa majibu specific tu kile umeuliza kama unamuuliza binadamu mwenzako. tofaut na google ambayo itakuletea general wewe ndo uanze kutafuta majibu sahihi...
me najitaid kujilimit maana naona kama inalemaza akili hivi kila kitu ukiulizwa chatGPT..
ila ofcourse ni creativity ya hali ya juu.. ni kama unapiga story na mtu tuu ijaribu utaipenda mkuu
Kinachoua seli na kuzeesha watu haraka ni exposure ya ngozi kwenye UV radiation tunayoipata kutoka kwenye jua. Ukitumia sunscreen yenye SPF kuanzia 50% (na hasa 75%) kila mara unapopigwa na jua unakuwa unajikinga na hatari za hiyo mionzi ya jua. Matokeo yake hutapata wrinkles na alama za kuzeeka mapema hasa usoni na sehemu zingine utakakokuwa unaitumia.Samahani mkuu spf ni nin


