Kinachoua seli na kuzeesha watu haraka ni exposure ya ngozi kwenye UV radiation tunayoipata kutoka kwenye jua. Ukitumia sunscreen yenye SPF kuanzia 50% (na hasa 75%) kila mara unapopigwa na jua unakuwa unajikinga na hatari za hiyo mionzi ya jua. Matokeo yake hutapata wrinkles na alama za kuzeeka mapema hasa usoni na sehemu zingine utakakokuwa unaitumia.
Wajanja akina
Depal walishaigundua siri hii mapema ndiyo maana ukiwaona utafikiri wako underage kumbe wanachezea 23 tayari


View attachment 2507465View attachment 2507466