Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,487
- 3,356
32 parefu sana labda utapafikia wakati Samia anamalizia utawala wake 2030 huko.23 geuza ikuwe 32 😅😅😅
Mkuu hata mimi simjui ila kwa vile tumeambiwa kama tusipomfahamu moja kwa moja tunakwenda mbinguni wala sina haja ya kumfahamu!😁😁😁Ni nani huyo dada![]()
Ndiyo Mkuu inafanya vizuri tuuAsante sana.
Nitaijaribu. Nasikia mpaka essay na summary inaandika vizuri tu!
Simjui jina lake.Damn!
Nani huyu?
Ooh mpk tuweke birth cert. kwa avatar ee32 parefu sana labda utapafikia wakati Samia anamalizia utawala wake 2030 huko.
Tena ngoja nije leo nikuchokoze liwalo na liwe! 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Simjui jina lake.
Whatever happens happens!Ooh mpk tuweke birth cert. kwa avatar ee
Iseme liwali na liwe in english ndo uje![]()



Kumbe ndo ivoo 😂😂Whatever happens happens!
Coming now![]()