Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

96d894102a044dd3bbc2733141dc766f.jpg
 
Kukata shauri? Means ujikute tu umekubali for the sake of being Mrs fulani?
Mhh 😂😂😂
Sasa kama yule ticha mhh ningekubali sahii ningekuwa mke wa mtu ila akuuuu,, tatizo nafsi zinakataa.
Jipe muda...

When the right guy comes and the time is right utajua tu...

Ila usiringe saaaaana...na wote hawa unaowapotezea wapotezee kwa heshima....

You never know!
 
Binti yake mpaka leo tumekuwa kama ndugu. Hata kwetu Misungwi alishafika....

Kwa nini unapenda ku-upgrade umri sasa? Vidimpozi na hiyo baby face huwa unamdanganya nani mpaka anadanganyika?
Safiiii
Naimani hujadukua kimasihara


Natamani kuwa mkubwa 😂
Wanadanganyika tu
Sasa nikikwambia nna 32 kwann ukatae na wakati hapo hunijui 😂😂
 
Jipe muda...

When the right guy comes and the time is right utajua tu...

Ila usiringe saaaaana...na wote hawa unaowapotezea wapotezee kwa heshima....

You never know!
Wee
Kuringa muhimu
😂😂😂😂😂😂😂
Hiyo ni necha jamani
Ya binadamu wotee

Mi kama hujanichokoza au kunikera, daima utaheshimika
 
Back
Top Bottom