Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hapa linatafutwa tako tu ili naye akipita wanaume tufurahi.....
View attachment 2507314
JamiiForums-1374283584.jpg
 
daah nimeingia hadi ChatGPT kutafuta kumbe ni abbreviation Ya SUPA DUPA YUTONG
Pole mkuu. Ni mbwembwe za huyo Mpare

Hiyo ChatGPT unaipata wapi na inatumikaje? Nimeona vyuo vikuu vingi huko nje wanahaha kutafuta namna ya kuidhibiti maana hata wanafunzi vilaza wameanza kuandika paper zenye uchambuzi safi kabisa mpaka maprofesa wanashangaa...

Hapo hapo Google nao wana ya kwao na Elon Musk naye ana sijui kitu gani hatari zaidi. Dunia inakwenda kasi sana na kila mtu ana wasiwasi na hii AI. Kazi nyingi zinakwenda kupotea!
 
Back
Top Bottom