Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hawa wachina sasa ni too much
FB_IMG_16740383882553628.jpg
 
Wladimir "Dr. Steelhammer" Klitschko alipokutana na Anthony Joshua enzi zile bado anatembeza vitasa sawasawa. Klitschko alikula uppercut moja matata sana en route to being knocked out ...na akastaafu mazima.

Ila yeye na kakake bondia (Vitali Klitschko ambaye kwa sasa ndiye meya wa jiji la Kyiv kule Ukraine) wamegeuka mashujaa baada ya kukataa kuondoka nchini Ukraine ilipovamiwa na Urusi. Pamoja na kwamba ni mamilionea na wangeweza kuondoka na kwenda kuishi po pote duniani, walikataa na moja kwa moja wakajiunga na jeshi ili kupigania nchi yao. Bado wanapambana! [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Eti chaupole [emoji16][emoji16][emoji16]

Hakuna mwanamke mtata hapa JF kukuzidi. Mi huwa nakukwepa tu aisee hata sasa siamini eti najibishana nawe kikawaida tu. Mpaka najishangaa yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Mamaaaaaaa, unanichekesha walai,
Sijafikia huko bhana ile inakua ni mijadala tu kuchangamshana siku ipite,
Mimi mtu peace sana.
 
Back
Top Bottom