Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FmvImdsXEAIPjTC
Walikuwa wanadinyana studio!?
 
Kuna mwana tumesoma naye nimeenda kwake juzi dah...Range Rover jipyaaa zero KM...

Hiyo nyumba sasa uwiii....bonge la swimming pool....

Wageni tumeandaliwa menu ya hotelini na chakula chote kimeagizwa huko na hata mtu wa kutuhudumia katoka huko...

Ila sasa shida ukiomba mchongo wa pesa au connection jamaa hawatoi. Niliishia kula tu, nikabebeshwa mavyakula na kurudishwa kwenye ghetto langu huku Mbagala

Ila one day sawa nitatoboa tu japo at 76, I am kind of running out of time japo Mungu si Athumani
 
Nani alikuwa na kosa hapa?

Kama bosi wako amekupa kazi ukaikataa, kwa nini uende wakati bosi mwenyewe kaamua kuitenda kazi hiyo hiyo uliyoikataa?

Na Makonda naye. Kwa nini asingetumia busara na kumwambia DC wake kuwa nilikupa hii kazi ikakushindaa. Kaa kwenye gari huko mpaka nitakapoimaliza. Au angemwambia tu usije. Nitasema una dharula....
IMG-20230118-WA0025.jpg
 
Back
Top Bottom