Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20220328_230145_810.jpg
 
Nimecheka mpaka watu wamenishangaa...Yaani wewe basi tu!

Usimwage kuku kwenye mtama mwingi. Hapa public tunaitana kaka na dada kumbe chini kwa chini tunakulana. Akili last born mwenzangu akiliiii!
[emoji16][emoji16][emoji16] trash [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Hata Yesu alisema atakayenikiri mbele za watu nami nitamkiri mbele za baba yangu. Ndio najua mimi sio Yesu lakini pia mimi sio bangi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom